Friday, 21 September 2018

Tanzania yaomboleza


UPDATE: SAA 4:44 ASUBUHI;, Waliofariki ajali ya Mv Nyerere wafikia 86 hadi sasa, zoezi la uopoaji na uokoaji bado linaendelea .Chanzo cha ajali chatajwa ni kubeba zaidi ya watu 400 wakati kinapaswa kubeba watu 101.

Poleni sana Watanzania wote kwa msiba. Mungu awajalie marehemu wote pumziko la milele, pia awajalie majeruhi wote wapone .

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!