Haya maua nayapenda mno, hunivutia sana nikiyaoana, halafu yanaharufu nzurii sema uoteshaji na utunzaji wake, unatakiwa ujuzi wa hali ya juu! Yaani haya maua hayaoti hovyo hovyo, lazima iwe ni sehemu yenye unyevu nyevu wa wastani, na hayataki baridi sana wala jua kali, Nadhani mikoani kama Arusha Iringa n.k wanaweza kupanda na yakastawi vizuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment