Monday 19 March 2018

Pata Idea ya chumba chako cha kulala


Chumba cha kulala Je kitanda kinatakiwa kikae upande gani? Rangi na mapambo gani yanafaa chumbani?
Kitanda cha kulala ni vizuri kikae katikati ili uweze kupata urahisi wa kufanya usafi vizuri, Chagua rangi zinazoendana na kuta za chumba, chumba kitapendeza zaidi, epuka kuweka mapambo mengi chumbani




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!