Thursday, 5 October 2017

Aonavyo Mdau kuhusu Mfanyakazi wa ndani (Housegirl)


MSHAHARA 40,000 KWA MWEZI
anakuwa wa mwisho kulala wa kwanza kuamka.
Anawapikia NYAMA yeye anakula DAGAA
Anafua nguo hadi za mumeo
ANAPIKA LAKINI HASHIBI
Akivunja sahani unakata mshahara



Mshahara huo huo anunue na mavazi atume na kwao
Matusi ni fani ya mama mwenye nyumba.
Kuwa House hausigeri sio LAANA ni maisha tu kumbuka mtu anapokuja kufanya kazi kwako naye ana malengo ipo siku atakuja kuwa na kwake


my take
Tuwe na huruma na msipojirekebisha hivyo vitoto vyenu vitanyongwa sana,vitachinjwa sana,vitalishwa vitu vya ajabu ajabu na vitawekwa sana kwenye friji ni muda wa kubadilika sasa na kwa style hii ukija 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!