Friday, 29 September 2017

TID atangaza nia ya ubunge 2020, aanza kumwaga sera

Image result for tid tanzania
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D, ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, kwenye uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, na kumng’oa mbunge wa sasa wa jimbo hilo Maulid Mtulia.

TID amesema sababu inayomsukuma kugombea nafasi hiyo ni kutokana na mbunge wa sasa kushindwa kutimiza mahitaji ya jimbo hilo, hivyo atatumia nafasi hiyo kuhakikisha anamng’oa ifikapo 2020,
Amedai kuwa yeye anafahamu vizuri matatizo ya Kinondoni kutokana na kuwa mzawa wa mahali hapo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!