Sunday, 24 September 2017

Aliyedai kugundua madini ya Tanzanite aomba kuonana na Rais Magufuli


Mkazi wa kijiji cha makanya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mzee Jumanne Ngoma ambaye anadai ni mgunduzi wa kwanza wa madini aina ya Tanzanite ameomba kuonana na Rais John Pombe Magufuli baada ya kumwandikia barua ya kuomba kuonana naye bila mafanikio. (ITV)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!