- faizaally_Naweza kuwa yoyote ninae taka kuwa kiufupi ni msanii nacheza karakta zote, naweza kuwa bad bitch, a good wife, Mama, good leader too
- ..msela,muhuni,malaya,chizi,smart, mtulivu ,kitu ambacho sijawahi kuwa ni muongo na mvivu but the rest hahahahahahaa I can act buana mpaka utashangaa and hakuna ambacho sijawahi kujaribu sasa ukinijaji utachelewa kufanya yako ntakupoteza kabisa utapoteza direction na zambi juu ukapata..na wala sitaki yoyote afate nyayo zangu nina Yangu kibao wewe fanya yako .cheza kwa step usimkanyage mwenzio maisha ni safari kila mtu anapita njia zake kikubwa tufike salama na sio kufika salama tu na Kufurahia safari zetu kwenye maisha yangu hivyo ndio vitu muhimu "KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment