Leo June 6, 2017 Ikulu Dar es salaam, Rais Magufuli amemuapisha Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mama Mghwira ni mwanachama wa ACT Wazalendo na alikuwa mgombea Urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Mghwira ameapishwa leo na tayari amekabidhiwa ilani ya CCM. Nimekuwekea hapa chini picha za kuapishwa kwake.
Chanzo: MillardAyo.Com
No comments:
Post a Comment