Friday, 3 March 2017

(VIDEO): KIJANA PAUL MWILOMBWA MLEMAVU WA VIUNGO ANAOMBA MSAADA WAKO ILI AWEZE KUTIMIZA MALENGO YAKE KUPITIA SHUGHULI ANAYOIFANYA


Paul Ibrahim Mwilombwa ni Kijana anayeishi Mkoa wa Geita Wilaya ya Chato, ni mlemavu wa viungo na mwenye kujishughulisha na maswala ya upigaji picha na mambo ya 'Graphic Design'.  hapa anaelezea historia yake na kuwaomba msaada watanzania ili apate kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!