Tuesday, 7 March 2017

Alichokiandika Mstaafu Jakaya Kikwete baada ya msiba kwenye familia yake

Leo March 7 2017 imeripotiwa taarifa za msiba kutoka kwenye familia ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete ambapo imeelezwa Bibi Nuru Halfani Kikwete ndie aliyefariki usiku wa kuamkia leo akitibiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.


KWA HISANI YA MILLARDAYO:COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!