Saturday, 7 January 2017

ISMAIL NA BI SAUMU WALIVYOMEREMETA!

Mahaba mahabani"Bwana na Bibi harusi  wakifurahi mara baada ya kufunga ndoa,  Harusi iliyojaa masham sham nderemo na vifijo kati ya Bwana Ismail Mussa Ismail na Bi Saumu ilifanyika huko Kwediboma wilaya ya Handeni .


Bi Harusi (Saumu) akipozi mara tu baada ya kufunga ndoa na aliyekuwa  mpenzi wake Bw. Ismail Mussa Ismail, ambaye sasa ndiye mume wake wa maisha. 

Bi harusi ndani ya tabasamu mwanana!






Bwana na bibi Harusi wakimeremeta!




 Shamra shamra zikahamia ukumbini, Bi harusi akimeremeta ndani ya rangi ya Pink sambamba na tai ya Bwana harusi, ambaye alitinga koti maridadi la rangi ya Blue.

Hapa Bwana harusi  akiwashukuru ndugu jamaa na marafiki walioshiriki katika sherehe hiyo.




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!