Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema kuwa miili ya watu 7 iliyokutwa wiki iliyopita ikielea juu Mto Ruvu ilikuwa ni ya Wahamiaji Haramu.
- Siku ya Jumatano tarehe 7/12/2016 katika kingo za mto Ruvu kijiji cha Mtoni iliokotwa miili ya watu 6 na maiti nyingine moja iliokotwa Ijumaa ya tarehe 09/12/2016 katika eneo hilohilo na kufanya jumla ya maiti zilizopatikana kuwa 7
VIA-JMF
VIA-JMF
No comments:
Post a Comment