Monday, 12 December 2016

Ujumbe wa Hamisa Mobeto kwa birthday ya mama yake kipenzi


hamisamobettoKwa Umri Wa Miaka 16 Uliweza Nizaa Ukiwa bado Msichana Mwenye Umri Mdogo Kabisa.
Baada Ya Miezi 2 Baba Yangu Mzee Hassan Aliweza Kukuacha Na Kwenda Kutafta Mwanamke Mwengine.
Nadhan Pengine Aliona Mwanamke Huyo Ndo Anafaa Kua Mkewe Na Anafaa Kutengeneza Familia Naye.


........ Napenda kukushukuru Kwa Kutonitelekeza🙏🏾 Maana Kwa Umri Wako ule Nadhan Ulikua Na Kila Uwezo Na Sababu Ya Kuniacha Kwa Baba Yangu Na Wewe Kwenda Kujitaftia Maisha Sehemu Nyingine.😿 (Maana Ni Wanawake Wengi Sana Wanao Fanya Hivyo)
Lakini Kama Mwanamke Ulie Kamilika Hukuthubutu...... Ulinibeba Na Kwanzia Pale Tukaanza Maisha Yetu Wawili.💪🏾
......... Nashukuru Kwa Kunilinda, Kunipigania, Kunisimamia Na kunilea katika Utaratibu Na Msimamo Mzuri Kabisa.
Napenda Kukushukuru Kwa Kua Binadamu Pekee Ambae Najua Huwezi Acha Niteketee.✋🏾
Napenda Kukushukuru Pia Kwa Kuamini Ndoto Zangu Nakunipa Go Ahead Nizitimize Nikiwa Na Umri Mdogo.
Nakushukuru Pia Kwa kunipa Moyo Muda Wote Ata Pale Naposema Mama Basi Nadhan Huu Ndo mwisho Wangu Nadhan Sitoweza Tena😿.
"Unasemaga Mwanangu Wao Sio MUNGU Utafanikiwa Mama Kua Tu Na SUBRA".
Na Penda Pia Kukushukuru Kwa Kunipa Mwongozo Wa Kumlea Mjukuu Wako@misfansy Kwa Sababu nadhan Pengine Bila Wewe Mimi Nisingeweza 🙌🏾.
Nakuombea Kila Siku Kwa Mw/Mungu akupe Umri Mrefu Sanaah Uje uone Vijikuu Vyako.... Maana Pia najua Bila weewe Kuna Binadam Watanionea Sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mwenyez Mungu Akuweke Mama Yangu ....Akulinde Yaraab Molah Akutunze❤️❤️
Nikiwa Kama Mtoto Wako Wa Pekee (Wa Kwanza Na Wa Mwisho )
Napenda Kukupa Kheir Ya Kuzaliwa Mama Yangu Kipenzi Mama Hamisa.
Happy Birthday my Hero.
Happy birthday My Love.
Happy Birthday Kipenzi Changu
Happy Birthday My Angel ........... Nakupenda Jana leo na sikuzote za Maisha Yangu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!