Monday, 7 November 2016

TANDOORI CHICKEN/KUKU WA KUCHOMA WA VIUNGO NA PILIPILI:(INDIAN STYLE)


Mahitaji:-
Vidari vya kuku 4, na mapaja 4
Maziwa mtindi 1/3 kikombe
Maji ya limao vijiko 2 vya chakula
Rojo la saumu kijiko 1 cha chakula
Rojo la tangawizi vijiko 2 vya chakulasp ginger paste
Mafuta ya kula vijiko 3 vya chakula
Pilipili nyekundu ya unga kijiko 1 cha chai
Paprika kijiko 1 cha chakula
Unga wa uzile vijiko 2 vya chai
Garam masala kijiko 1 cha chai
Manjano kijiko 1 cha chai
Pilipili manga kijiko 1 cha chai
Chumvi kiasi
NAMNA YA KUTAYARISHA:-
1. Changanya mahitaji yote vizuri katika bakuli acha kuku waingie viungo kwa muda wa masaa 6 au usiku kucha
2. Choma kwa moto mkali wa kiasi hadi kuku zipate kuiva vizuri ukiwa wageuza geuza. Kula wa wali au chips
Note:
Kuku wakate vistari ili wapatr kuingia vizuri viungo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!