Sunday 30 October 2016

PICHA 16: Kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Dar




October 30  2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria liitwalo Safari Njema lenye namba ya usajili T 990 AQFambalo limegongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ na kusababisha kuwaka kwa magari hayo yote mawili na kupelekea kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.

Millard Ayo na Ayo TV imempata Mkaguzi Msaidizi wa Zimamoto kayaongea haya>>Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane ndio taarifa tulizozipata kwanza walikuja watu wa kuzima moto huu ambao walikuwa ni wakujitolewa baadae watu hawa walifukuzwa na wanachi kwa mawe’
‘Idadi ya Majeruhi ni 10 na mwili mmoja wa abiria aliyeugua katika basi hilo la abiria lililokuwa likitokea Dodoma liitwalo Safari Njema na kugongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ, chanzo ni uzembe wa madereva hao wote wawili ambao katika eneo la tukio hawakuwepo kwahiyo mengineyo tuachie Jeshi la Polisi’
.
.
.
.

.
.
.

.
.
.
.

.
.
.
aw1a3328
Mwili wa Marehemu aliyeugua katika ajali hiyo akiwa ndani ya Basi hilo liitwalo Safari Njema
Picha kwa hisani ya MillardAyo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!