Wednesday, 26 October 2016

Makeup tutorial!

Huu sio ule wanja wetu wa kalamu( karamu), wataalam wa makeup wanasema wanja wa karamu kwenye nyusi haupendezi, yaani unafaya nyusi kupoteza rangi yake ya asili, hivyo wanja mzuri ni ule uko kwa mkebe ambao ukipaka kwenye nyusi unakuwa kwenye nyusi tu, hauchori mpaka kwenye ngozi kama picha inavyoonyesha!












No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!