Tuesday, 20 September 2016

DINA MARIOS!



Kuwa Strong haimaanishi hausikii maumivu katika changamoto za kimaisha unazopitia.


Ukweli ni kwamba unasikia maumivu,unayakubali na kuyaelewa.Na zaidi ukiwa katika UTULIVU wa akili na nafsi.Kama hauna utulivu wa nafsi na akili ndugu yangu utatapatapa sanaa mwisho uonekane kichekesho.

Sikia maumivu yako
Yakubali maumivu yako
Yaelewe na ujue hakuna unachoweza kufanya kubadilisha.kama Kipo cha kubadilisha badilisha.
Kuwa mtulivu utavuka tu.
Kama kuna somo la kujifunza katika changamoto hiyo tulia kwani upo darasani na hakikisha unafaulu mtihani huo.
Nakukumbusha tena KUWA MTULIVU!
By Dina Marios!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!