Gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika imepata ajali leo alfajiri kwenye mataa yakuongozea magari yaliyopo kati ya Mlimani City na Jengo la Mawasiliano jijini Dar
- Gari hilo liligongwa na lori na lilikuwa likiendeshwa na dereva mwanamke ambaye amefariki
Usiku wa August 19 maeneo ya mataa yaliyopo kati ya Mlimani City na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)ilitokea ajali ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na Lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na mataa hayo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye mwili wake haukuwa umeweza kuokolewa kutokana na kubanwa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye mwili wake haukuwa umeweza kuokolewa kutokana na kubanwa.
No comments:
Post a Comment