Sunday, 24 July 2016
WOLPER AJIUNGA RASMI CCM
Msanii Jacquiline Wolper (katikati) ambaye mwaka jana alikuwa mmoja wa wasanii wapiga debe wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, akikaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, Jakaya Kikwete baqada ya kutangaza kujiunga na CCM akitokea Chadema juzi usiku wakati wasanii wakitumbuiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Dodoma. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Wolper akifurahi kujiunga CCM ambapo alisema anaomba asamehewe kwa kitendo chake cha kumpigia kampeni Lowassa mwaka jana
KWA HISANI YA RICHARD MWAIKENDA BLOG.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment