Taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya nchini Marekani zinaeleza kuwa, Maafisa Polisi 11 wamepigwa risasi eneo la Dallas mapema leo asubuhi (kwa majira ya EA). Katika maafisa hao, inaelezwa kuwa 3 wamefariki, 3 wakiwa ni mahututi na wawili wakifanyiwa upasuaji.


Maafisa Polisi hao wamepigwa risasi na wadunguaji wawili ambapo tukio hili linahusishwa na mauaji ya wa-Amerika wawili weusi waliouawa na polisi nchini humo. Tazama video hapa chini kuona hali ilivyo.