Monday 11 July 2016

Uharibifu kwenye daraja la Kigamboni baada ya Lori kupata ajali jana


 Pichani ni baadhi ya mashuhuda wakiliangalia lori lililopoteza muelekea na kugonga kingo za daraja la Nyerere Kigamboni, na kupinduka. chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na haijajulikana kama kuna aliepoteza maisha au majeruhi katika ajali hiyo.




Muonekano wa lori hilo baada ya ajali.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!