Monday 11 July 2016

:MWANAJESHI HATARI MWENYE ASILI YA KIAFRIKA ALIYEUA ASKARI WATANO MAREKANI


Enzi akiwa kazini na vazi la jeshi la Marekani

miach-xavier-johnson2-640x480
miach-xavier-johnson2-640x480
Picha mbili tofauti za Micah Johnson akiwa na vazi la jeshi na vazi la kawaida.
micah-x-johnson-2
micah-x-johnson-2
Micah Johnson akiwa kwenye mazoezi ya kijeshi.
Na Leonard Msigwa/mtandao.
Amekuwa akitajwa sana na vyombo vya habari duniani kote baada ya mauaji ya polisi watano jijini Dallas, Marekani. Micah Johnson mwenye umri wa miaka 25 ndiye anatajwa kuhusika na mauaji ya polisi jijini Dallas. Picha mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya mtandao zinamwonesha Micah Johnson akiwa amevaa mavazi ya jeshi la Marekani.
Micah mwenye asili ya kiafrika inasemeka alitaka kuua polisi wenye asili ya kizungu baada ya kuchukizwa na mauaji ya raia wa Marekani wenye asili ya kiafrika.
Micah Johnson baada ya kutekeleza mauaji hayo naye aliuliwa na Roboti maalum la polisi baada ya kuonekana ni mtu hatari asiyeweza kukamatwa kirahisi, kutokana na ukweli kwamba alikuwa mwanajeshi mwenye mafunzo ya hali ya juu kutoka jeshi la Marekani.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!