Thursday, 21 July 2016

JK AONGOZA KAMATI KUU YA MWISHO CCM AKIWA MWENYEKITI WA CHAMA LEO MJINI DODOMA

 MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia vijana wa hamasa wa CCM alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kushiriki katika Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwenye ukumbi uliomo katika jengo la White House, mjini Dodoma. Kikao hicho kilimpendekeza kuwa Mwenyekiti wa awamu ya tano wa CCM, ambapo kesho jina lake litawasilishwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kitakachofanyika pia mjini Dodoma na baadaye CC ikilipitisha jina lake litapelekwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa ajili ya kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Anayemsindikiza ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi apowasili kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kushiriki katika Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwenye ukumbi uliomo katika jengo la White House, mjini Dodoma. Kikao hicho kilimpendekeza kuwa Mwenyekiti wa awamu ya tano wa CCM, ambapo kesho jina lake litawasilishwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kitakachofanyika pia mjini Dodoma na baadaye CC ikilipitisha jina lake litapelekwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa ajili ya kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Anayemsindikiza ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
  MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akienda ukumbini alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kushiriki katika Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwenye ukumbi uliomo katika jengo la White House, mjini Dodoma. Kikao hicho kilimpendekeza kuwa Mwenyekiti wa awamu ya tano wa CCM, ambapo kesho jina lake litawasilishwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kitakachofanyika pia mjini Dodoma na baadaye CC ikilipitisha jina lake litapelekwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa ajili ya kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Anayemsindikiza ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein,alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kushiriki katika Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwenye ukumbi uliomo katika jengo la White House, mjini Dodoma. Kikao hicho kilimpendekeza kuwa Mwenyekiti wa awamu ya tano wa CCM, ambapo kesho jina lake litawasilishwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kitakachofanyika pia mjini Dodoma na baadaye CC ikilipitisha jina lake litapelekwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa ajili ya kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. 
  MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein wakati wakienda ukumbinini Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. 
 Viongozi wa mkoa wa Dodoma waliokuwa tayari kuwapokea viongozi wakuu waliokuwa wakiwasili kwenye Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM wakiwa mbele ya jengo la White House. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Dodoma Mjini  Paulo Luhamo, Mstahiki Meya wa Mji wa dodoma,  Jafar Mwayemba,  Mjumbe wa  kamati ya Siasa ya Wilaya  Robert Mwanje na  Katibu wa CCM wilaya ya Dodoma Mjini  Salum Kalli.
 Vijana wa Hamasa wa CCM wakichangamsha viwanja vya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma wakati wakiwasili Viongozi na wajumbe wa kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Steven Wasira kabla ya kikao kuanza
 Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba akiwasalimia wajumbe wenzake wa Kamati Kuu ya CCM alipowasili ukumbini
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Maua Daftari na Dk. 
 Spika wa Baraza la Wawakilishi akiwaelekeza jambo wajumbe wenzake wa Kamati Kuu ya CCM Shamsi Vuai Nahodha na Juma sadifa 
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakisubiri kuanza kikao
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliokuwa wakisubiri kikao kuanza
 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimia wajumbe wenzake wa Kamati Kuu ya CCM alipowasili ukumbini 
 Kataibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiandaa 'zana' muda mfupi kabla ya kikao kuanza
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kwa furaha
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Rais Dk John Magufuli na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein (kulia) wakiingia ukumbi, baada ya Mwwenyekiti kuwasili
 Wajumbe wakiwa wamesimama kushangilia kabla ya kikao kuanza
 Viongozi wa meza kuu wakiwa wamewasili wote ukumbini huku wakishangilia. Kutoka Kushoto ni Rais Dk. John Magufuli, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula
 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akiwasalimia wajumbe wenzake wa Kamati Kuu ya CCM, alipokuwa akienda kuketi kwenye nafasi yake rasmi
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa maneno ya utangulizi kabla ya kikao kuanza
 Hali ya ukumbini ilivyokuwa wakati kikao kikianza
 Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akifungua kikao hicho

Mpigapicha wa Ikulu, Muhidin Issa Michuzi (watatu kushoto) akitoa somo kidogo kwa wapigapicha wenzake, nje ya ukumbi, baada ya wapigapicha kutoka ukumbi ili kuacha kikao kiendelee kwa wanaohusika. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!