Thursday, 9 June 2016

KUTOKA BUNGENI DODOMA

G1G2 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akionyesha mkoba wenye bajeti ya serikali kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Juni8, 2016.

G6Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akisoma Bajeti ya serikali Bungeni mjini Dodoma Juni 8, 2016.


G4
Wabunge wa Upinzani wakitoka bungeni  kabla ya bajeti ya serikali kusomwa Juni 8, 2016.
(Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!