Wednesday, 18 May 2016

KIJANA MTANZANIA RAJAI AYOUB ASHINDA MASHINDO YA QURAN DUNIAHUKO NCHINI IRAN.



Rajai Ayoub mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya ulimwengu ya kusoma Quran tukufu kwa mtindo wa Tajweed ametawazwa mshindi wa Mashindano hayo leo Mjini Tehran, Iran.

Kijana huyo barobaro alichuana vikali na kiasi ya wasoma Quran 100 kote ulimwenguni kwenye mashindano hayo ya fahari yanayofanya kila mwaka duniani.

Alhamndulillah Matokeo yametoka na tanzania tumepata no 6
No 1 Irani 
     2 afughanistan
     3 indonesia
     4 Germani
     5 Uholanz
     6 Tanzania.
Nawashukuru sana sana kwa umoja wenu kwa dua zenu tuko pamoja..
Mungu atujaalie tuzidi kuipenda Qurani.





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!