Tarime. Hofu ya kuugua kichaa cha mbwa imeibuka kwenye baadhi ya kata za Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara baada ya kaya nyingi kufuga mbwa na kushindwa kuwapatia chanjo.
Kutokana na hali hiyo, baadhi ya watendaji na madiwani wa kata za halmashauri ya wilaya hiyo wametakiwa kuwahamasisha wote wanaofuga mbwa wawapeleke kwenye chanjo
Kata ya Kiore ina mbwa 6,777, Kemambo 4,132 na Nyarukoba 819.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kiore, Emanuel Mbilinyi alisema kaya nyingi zinafuga mbwa zaidi ya watatu.
No comments:
Post a Comment