Monday, 30 May 2016

GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUSABABISHA MAJERUHI WATATU

Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka  (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi   baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya Saa 2 usiku jana  eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!