Monday 25 April 2016
WABONGO USTAARABU ULISHATUSHINDA!
Mambo ya aibu na kijinga namna hii unategemea akipatikana asitngazwe au kuonyeshwa hadharani? Pili wanaongalia usalalama wa daraja nao ni majipu. Inamaanisha angeweka hata bomu pale asingeonekana. Nina imani pale darajani kuna kamera zitumike kumpata huyu mchafuzi wa mazingira na iwe fundisho kwa wenye tabia kama hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment