Pamba bafu lako liwe ni sehemu nzuri ya kuvutia!
Weka makabati ya bafuni kwenye bafu lako kufanya liwe na nafasi, kwa sababu vitu vyako vyote vya bafuni utaweka ndani ya kabati, hiyo itafanya bafu liwe na nafasi hata kama ni bafu dogo. wengi wanafikiri lazima uwe na vitu vya kisasa vya bei mbaya kupendezesha nyumba yako, hapana! Mpangilio mzuri punguza kuweka mavitu mengi. hii itafanya iwe rahisi hata kufanya usafi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment