Thursday, 17 March 2016
MWANASIASA WA LEO!
Oliver Tambo akiwa na watoto wa wapigania uhuru wa Chama cha ANC waliokuwa wakiishi huko Mazimbu Morogoro katika chuo cha Solomon Mahlangu (sasa sehemu ya Chuo cha Kilimo Sokoine) mwezi Mei mwaka 1984. Oliver Tambo alikuwa Rais wa Chama cha ANC nchini Afrika Kusini baada ya Chief Albert Luthuli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment