Saturday, 19 March 2016

MBUNGE WA CHALINZE AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWAPA GARI LA WAGONJWA



Nakosa neno zuri la kusema kumshukuru Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano kwa jinsi alivyotutendea mema sisi watu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, Majuzi katupatia Hospitali ya Wilaya na Jana ametupa msaada wa Gari la Wagonjwa. 




Ni furaha yangu mimi Mbunge wa Watu wanyonge w Chalinze kukushukuru kutoka kwenye Sakafu ya Moyo wangu kwa niaba ya watu wangu kwa Msaada huu.Mungu akuzidishie roho ya Huruma na kupemda kuona mabadiliko katika Nchi yako. Chalinze iko nawe na tutakuweka kwenye Dua katika kipindi cha miaka 10 yote utakayowaongoza watanzania ili kushuhudia Mabadiliko na Maendeleo ya kweli. Asante sana sana sana.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!