Wednesday, 16 March 2016

KITWANGA ATUA ZANZIBAR KUTATHMINI HALI YA MAMBO KUELEKEA UCHAGUZI

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Charles Kitwanga, akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na kikosi cha kutukiza ghasia, (FFU), alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Karume kisiwani Unguja, Leo Machi 16, 2016, tayari kufanya tathmini ya hali ya mambo ilivyo kisiwani Zanzibar kuelekea simu ya uchaguzi wa maeudio uliopangwa kufanyika Machine 20, 2016.(Picha na WMNN).



WAZIRI Kitwanga (kushoto) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, Saa chache baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Karume Mjini Unguja.

Waziri Kitwanga, akizungumza na makamanda wa vyeo vya juu wa kesho la Polisi Zanzibar, Machi 16, 2016.

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Charles Kitwanga, akipokelewa na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Karume Mjini Unguja, Machine 16, 2016.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!