skip to main |
skip to sidebar
PICHA: HUYU NDIYE ALIYESHIKA NAFASI YA KWANZA KITAIFA MTIHANI KIDATO CHA NNE
Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija. Binti huyu amefanikiwa kuwagaragaza watoto wa kiume kibao hapa nchini.
No comments:
Post a Comment