Friday, 12 February 2016
JINSI MCHANGANYIKO WA SPINACH NA MAPARACHICHI UTAVYOSAIDIA KUPOTEZA TUMBO KUBWA
Wengi mnauliza kuhusu jinsi ya kupungua tumbo peke yake na hivyo tumeamua kuwaletea mchanganyiko huu kwa ajili ya kutatua tatizo hilo. Spinach ni mboga nzuri ya majani yenye faida nyingi kama vitamin C inayotukinga na magonjwa.
Pia spinach ina nyuzinyuzi kwa wingi ambazo zinatumia nishati kubwa ili kumeng'enywa katika tumbo. Kwa sababu hii, spinach ni nzuri sana katika kupunguza uzito kwa sababu inasababishwa mafuta ya unene yachomwe mwilini. Pia inashibisha kwa muda mrefu sana na hivyo kuzuia ulaji wa chakula kingi. Maparachichi yana mafuta mazuri sana kwa ajili ya kupunguza uzito. Mafuta haya pamoja na virutubishi vingine vina nguvu kubwa sana katika kuchoma mafuta eneo la tumboni. Sasa changanya spinach na parachichi au ukiweza kupata mafuta ya parachichi, utapata dawa ya miujiza itakayoondoa kitambi haraka sana. Nakuomba uanze sasa uone mwenyewe. SPINACH UNAIPIKA. Maparachichi unaweka kwa juu kwenye spinach iliyopikwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment