Wednesday 24 February 2016

HATUKUACHANA NILIMUACHA- LADY DEE



"Hatuja achana niliamua kumuacha.Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano,furaha,amani na upendo.ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo,sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.

sioni kujishushia heshima,ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima,anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba.
Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini. Ukiachilia mbali vipigo.Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu.Ushahidi ninao. .....niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia.Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!