Tuesday, 12 January 2016

JE WEWE NI MSANII UNAYECHIPUKIA? MTUMIE VIDEO YAKO SALIM KIKEKE UPATE "SHAVU"

Kumbuka kama wewe ni msanii unayechipukia au 'underground', unaweza kunitumia video yako au audio ili kupata 'shavu'
Video tuma kwa kutumia wetransfer.com kwa saleem.kikeke@gmail.com
Tafadhali share wimbo huu ili kukuza sanaa yetu.
Pamoja sana!!



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!