Sunday 27 December 2015

STORI YA LEO!



Jioni moja Obama na Mke wake walienda Outing ya kawaida sana kwenye moja ya Mgawaha..
Walipokuwa hapo mwenye mgahawa akamuomba Obama ruhusa aongee na Michelle yaani mwenye mgahawa aongee na Mke wa Rais na Obama akatoa ruhusa


Walipomaliza mazungumzo Obama akamuuliza mke wake jamaa alikuwa anakuambia nini?
Mke wa Obama akasema huyu Jamaa tulipokuwa wadogo alikuwa ananipenda saaaana alitaka kunioa..
Obama akamuuliza mke wake ' kwa hiyo kama ungekubali akuoe leo ndo ungekuwa Mmiliki wa Mgahawa huu?
Mke wa Obama akajibu hapana... kama jamaa angenioa basi leo Ndo angekuwa Rais wa Marekani.... Obama akacheka sana...
Point hapa ni kwamba kuna wakati Wake zetu ndio wanatupeleka kwenye Ndoto zetu kwa upesi hasa kama haujafanya makosa. Mke anaweza kumtoa mtu kutoka kuwa SIO KITU hadi KUWA KITU...
Fanya tu maamuzi ya busara  unaweza change historia ya maisha yako just kwa kupata the right wife

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!