Sunday 27 December 2015

PLUS SIZE DRESSES! VAA NGUO INAYOENDANA NA UMBO LAKO!

Wengi wetu hatutaki kujikubali, kama una umbo kubwa vaa nguo kulingana na umbo lako, utakapovaa nguo isiyoendana na umbo lako, kwanza mwenyewe utakuwa uncomfortable, na bado haitakupendeza, hata kama hiyo nguo ni ya gharama au ni nzuri kiasi gani.











No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!