Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika
kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la
Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi
mbali mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi, Maji, Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla
Shaaban. |
No comments:
Post a Comment