Naibu Waziri wa Afya Dkt. Hamis Kigwangalla amefanya ziara ya kustukiza katika kliniki ya ForePlan inayomilikiwa na Daktari maarufu wa tiba asili Dkt. Mwaka
-Amemtaka Dkt. Mwaka kufika Wizarani na kujieleza kwa nini anajiita Daktari wakati hajasomea taaluma ya udaktari
No comments:
Post a Comment