Thursday, 17 December 2015

NAIBU WAZIRI WA AFYA AIBUKIA SOKO LA BUGURUNI KUJIONEA HALI ILIVYO!





Naibu Waziri wa Afya Mh.Kingwangala akiangalia uchafu uliorundikana katika soko la Buguruni.




Hebu angalia hii hali katika soko la Buguruni "no wonder"idadi kubwa ya wagonjwa wa kipindupindu walitoka Buguruni, na sidhani kama waliwajibika  katika kufanya usafi siku ya uhuru siku ya 9 desemba, vinginevyo hali isingekuwa hivi! 






No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!