Monday, 2 November 2015

WEMA NA BIRTHDAY YA KIMALKIA!




Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.
Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake  jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Mama mzazi wa Wema Sepetu akifurahi.
.
.Wema Sepetu akimlisha keki Millard.
.
.
.
.
.
.
.
.Wema Sepetu akimlisha keki mwigizaji wa bongo movie, Steve Nyerere.
.
.Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akitoa burudani.
.
.
.
Mwigizaji wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_6093
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_6124
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Wafanyakazi wa Clouds Media Group (kushoto Shadee wa Clouds TV na B 12 wa Double XL).
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_6212
.
DSC_6217
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_6267
.
.Kushoto ni Mwigizaji Lulu Michael akiwa na Mtangazaji Penny.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Kushoto ni Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya, Millard akiwa na Dulla Spartan.




 Mahaba nigaragaze!
 Zawadi kede kede kama vile!











No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!