KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter.
Tuzo aliyoshinda Mkama.
Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31, New York, Marekani.
Stori:Gabriel Ng’osha
No comments:
Post a Comment