Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.
Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu
No comments:
Post a Comment