Wednesday, 18 November 2015

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI DODOMA BAADA YA WABUNGE KUAPISHWA

  Mbenge wa Mlalo lushoto Mh: Rashid Shangazi, akiwa na wadau baada ya kuapa kuitumikia Tanzania kwa mujibu wa Katiba.

Bwana Haruna Mbeyu, Fatma Shangazi katika picha ya pamoja na mbunge wa Mlalo Lushoto Mh: Rashid Shangazi mara baada ya kuapishwa kwake



 Bi Fatma Shangazi, Haruna Mbeyu na  bwana Omar Athman wakipata picha ya pamoja na mbunge wa Mlalo Lushoto Mh: Rashid Shangazi, mara baada ya kuapishwa kwake 
Mbunge wa Mlalo Lushoto Mh: Rashid Shangazi akibabadilishana mawazo na wadau.




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!