Friday 6 November 2015

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA ALGERIA RAMAMLA PIA MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA TAWALA CHA CHINA BW ZHNG PING IKULU MAPEMA LEO


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe. Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam leo.Bwana Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano. Kulia ni Balozi wa China Nchini, Dkt Lu Youqing.





Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe. Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam leo.
(Picha na Freddy Maro

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!