Saturday 7 November 2015

Q-CHIEF IS BACK" FULLSWING" SIKIA NYIMBO YAKE MPYA Q-CHIEF-POWER OF LOVE!!



Hii Q- Chief kamaliza mambo wimbo international, ndio hivyo naweza kusema, katoka kwenye ile style ya kuimba style ya aina moja, yaani muziki ni ufundi na ubunifu, sasa miziki yetu karibu yote inamtindo mmoja, hata wakiimba hujui  huyu nani na huyu nani. Q Chief kafunga kazi na hii. nyimbo kama hii inakubalika popote hata majuu.sio Africa tu, ni "Classic" thumb up Adam Juma  video nzuri sana.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!