Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,
PC Asha Adam, akiwasisitiza abiria kufunga mikanda iliyopo kwenye viti
walivyoketi muda wote wa safari muda mfupi kabla ya magari kuondoka
katika kituo Kikuu cha mabasi ya abiria Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo
Novemba 10, 2015 kama hatua ya kudhibiti majeraha na vifo vitokanavyo na ajali
za barabarani, kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Inspekta Ibrahim Omary Samwi(kushoto), na PC Elisante Bura(kulia), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani, kutekeleza mkakati wa Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.Zoezi hili limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania .
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Sajenti Jackson Mafuru (kulia) na PC Elisante Bura (kushoto), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani. zoezi hili ambalo limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam, ni moja ya hatua ya Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka,.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Abdallah Bwasi akikagua moja ya magari yanayofanya safari zake nje ya mkoa wa Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam. Hatua hii ya Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani imekuja kwa lengo la kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma, Makao Makuu ya Trafiki, Dar es Salaam, ASP Abel Swai akitoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria, muda mfupi kabla ya kuanza safari za mikoani katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo, jijini Dar es Salaam. Elimu hiyo inalenga kudhibiti ajali za barabarani kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka. (Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

Askari wa Kikosi cha Usalama
Barabarani, Inspekta Ibrahim Omary Swami (aliyeko kwenye uvungu wa gari),
akikagua moja ya magari yanayojiandaa kuelekea mikoani, zoezi ambalo
limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuanza kuondoka katika kituo Kikuu cha
Mabasi, Ubungo jijini Dar es Salaam. Aliyenyoosha kidole juu ni PC Elisante
Bura. Hatua hii ya Jeshi la Polisi nchini linalenga kudhibiti ajali
kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka,.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Sajenti Jackson Mafuru (kulia) na PC Elisante Bura (kushoto), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani. zoezi hili ambalo limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam, ni moja ya hatua ya Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka,.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Abdallah Bwasi akikagua moja ya magari yanayofanya safari zake nje ya mkoa wa Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam. Hatua hii ya Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani imekuja kwa lengo la kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma, Makao Makuu ya Trafiki, Dar es Salaam, ASP Abel Swai akitoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria, muda mfupi kabla ya kuanza safari za mikoani katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo, jijini Dar es Salaam. Elimu hiyo inalenga kudhibiti ajali za barabarani kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka. (Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment