Tuesday, 17 November 2015

DODOMA KUMEKUCHA! WABUNGE NA WADAU MBALIMBALI WAMIMINIKA KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA WABUNGE

MH: Mbaraka Dau mbunge wa Mafia akiwa na ndugu na jamaa.


MH: Mbaraka Dau  mbunge wa Mafia (mwenye suti) akiwa nje ya jengo la bunge mjini Dodoma



 Mbunge wa Kawe mh:Halima Mdee akiwa na wadau Mr Haruna Mbeyu na Omar Athman, wakibadilisha mawazo nje ya jengo la bunge jijini Dodoma mapema leo.




MH: Mbaraka Dau mbunge wa Mafia.




Mbunge wa Kawe mh.  Halima Mdee , Mr Haruna Mbeyu, na Omar Athman wakifurahia jambo nje ya jengo la bunge jijini Dodoma leo.



1 comment:

mzee wa mafia said...

Hongera sana mh dau ndio mbunge tuna imani kubwa nawewe kuivusha mafia katika maendeleo tunasikia raha na faraja sana

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!