Diamond Platnumz na Producer Tudd Thomas wakicheki kitu kwenye simu.
.
Designer wa Diamond Platnumz, anaitwa Q Boy Msafi na mtu wake pembeni !!
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Producer Tudd Thomas, TID na Alawi Junior
Hapo ni Diamond Platnumz na Manager wake Babu Tale, time ya kupata msosi.
.
Kwenye pozi la pamoja, Raymond wa Tip Top, Diamond na Q Boy.
Diamond na Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Kwenye list ya walioalikwa, alikuwepo pia AY
Birthday boy hakwepi kuogeshwa..!!
Happy birthday Harmonize, yeye anasherehekea siku ya kuzaliwa October 03.. kwa sababu party ilikuwa usiku, tarehe 03 ikamkutia hapohapo.. akina Queen Darleen wakamalizana nae!!
Mzuka ukampanda Mnyama TID baada ya ngoma yake kupigwa, ikafatia show ya nguvu kwenye meza ya kaunta !!
.
Keki ya birthday ikaanza kuliwa humohumo kwenye swiming pool.
Diamond
PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO.COM
No comments:
Post a Comment